Shkamoo Ankal Michuzi,

Leo tarehe 15.8.2011 mimi ADRIAN HILLARY STEVENS ni siku ya kuzaliwa kwangu nikitimiza miaka 21, Napenda sana na kwa dhati kabisa kumshukuru mama yangu mpenzi na mdau mkubwa wa globu hii Ms C.Mahundi kwa mapenzi na malezi yake ya dhati kwangu, Dada zangu Petty Petit De Franco, Suzette and dear brother Stephen, Ramsheed Nassor na wandugu zangu wanao piga box ughaibuni..Kupitia St.Jude-Thadeus nasema..

”Athante”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera mkuu miaka 21 si mchezo(Miaka 21 mimi nilikuwa form5-6, zamani tulikuwa tukisoma tukiwa "Vijeba").Aise hapo ni wapi hapo au 'umecheza' na picha?Pametulia kweli siyo siri.

    David V

    ReplyDelete
  2. ahahahaha happy birthday kijana naona unakua sasa..ila miaka 21(doubt)..but all n all karibu Uzeeni...Tomb'Rider nd i knw U're filing lyk'Waoh...happy'birthday bro..

    ReplyDelete
  3. Happy bethidei, ila pendeza akilini kama unavyopendeza mwilini.

    ReplyDelete
  4. Hapo Kempiski mdau ila ndo nasikia pamebadilishwa jina. Mliopo huko tunaomba mtupatie hilo jina jiiipyaaaa....!!! Mdau Korea Kusini.

    ReplyDelete
  5. Happy Bday kaka ukubwa unakunyemeleaa......Macintosh aka Mbagala Bway

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...