Rais DKT.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na baadhi ya Masista watawa wa Kanisa Katoliki walioshiriki katika futari ambayo Rais aliwaalika viongozi wa dini mbalimbali  Ikulu ya jijini Dar es Salaam jana jioni. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mzee uko buzy huku watu hawana mafuta, mbona uko kimya

    ReplyDelete
  2. Jamani Raisi wetu yeye na minuso tu huku taifa linahangaika, Mheshimiwa raisi simamia watendaji wako badala ya kuwa katika sherehe kila wakati

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...