Watoto saba wa familia ambao walikuwemo ndani ya nyumba ya mfanyabiashara wa mchele Mlandege Iringa Bw.Alfredy Mbwilo a.k.a Emoro wakiwa nje ya nyumba yao baada ya nyumba yote kuteketea kwa moto usiku huu Kijana Remsi Mbwili akiwa katika chumba cha wageni katika nyumba hiyo ambacho kilianza kuungua moto Wananchi wenye hasira kali wakimpa kichapo cha mbwa mwizi kibaka ambaye alikuwa akijaribu kupora mali katika eneo hilo la ajali ya moto Paa likiwa limewaka moto kupitia kiasi ,hapa ni baada ya kuzimwa na gari ya kikosi cha zima moto manispaa ya Iringa. Picha na Francis Godwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...