Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Turkish Airlines. Mr.Mustafa Ozkahraman akiwashukuru wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo jioni ya leo.
Wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye Iftar jioni ya leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Turkish Airlines. Mr.Mustafa Ozkahraman (wa pili kulia),akiwa na baadhi ya wageni waalikwa jioni ya leo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakipata futari jioni ya leo iliondaliwa na kampuni ya shirika la Ndege ya Turkish Airlines kwenye hoteli ya Kempinsk.
Wageni waalikwa wakipata futari
Meneja msimamizi wa shughuli za shirika la Ndege ya Turkish Airlines katika uwanja wa ndege wa JKNIA Mr. Ebubekir sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Turkish Airlines. Mr.Mustafa Ozkahraman wakiwaongoza baadhi ya wageni waalikwa.
Wageni waalikwa mbalimbali wakipata futari jioni ya leo iliondaliwa na kampuni ya shirika la Ndege ya Turkish Airlines kwenye hoteli ya Kempinsk.picha zaidi Bofya hapa










Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...