Katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo(kulia) akimpa zawadi aliyekuwa katibu Mkuu ofisi ya Rais Ikulu, Michael Mwanda na mkewe wakati wa hafla ya kuwaaga makatibu wakuu wane waliostaafu hivi karibuni katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam jana jioni. Makatibu wakuu wengine walioagwa katika hafla hiyo ni pamoja na Andrew Nyumayo kutoka wizara ya Ulinzi, Bi Mariam Mwafisi Wizara ya Maendeleo ya jamii na Bi Ruth Mollel kutoka ofisi ya Makamu wa Rais.
Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo(watatu kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na makatibu wakuu waliostaafu hivi karibuni katika hafla ya kuwaaga iliyofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski  jijini Dar es Salaam jana jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto Michael Mwanda(ikulu),Bi.Ruth Mollel(Makamu wa Rais),Bi Mariam Mwafisi(Maendeleo ya jamii) na Andrew Nyumayo(Ulinzi) Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...