Ankal akilishwa keki na ubavu wake katika hafla fupi usiku wa kuamkia leo maskani yake huko Tandika jijini Dar. Ankal anawashukuru wadau wote waliomtakia hepi besdei njema, anasema miaka kweli haigandi, tusiache kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa pumzi na afya njema kwa dua na sala kila saa na kila siku.
Home
Unlabelled
Keki ya hepi besdei ya kuzaliwa ankal yaliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera mwanagu ee hongeraa, nasi tuongere ee hongera...
ReplyDeleteHahahahahahahahahaaaaaaa finaly tumemwona shangazi halisi naona ankal haukuwa na choice!!! hahahahaaa huyu ndo shangazi letu la nguvu! hahahahaaaaaaaaa! asante sana shangazi kwa kazi nzuri ya kumtunza ankal na kumwachia muda mwingi wa kutupatia habari za kila saa za bongo. Thanks auntii
ReplyDeleteKaka kumbe we mtoto wa TMK mwenzetu! Poa sana hiyo. nilikuwa sijui.
ReplyDeleteLakini Kaka huyo picha ya kwanza, wa kwanza kulia mwenye kiblauz chekundu ndo sista wetu au?
Nimem maind kichizi wangu!
Uncle MICHUZI,Mimi binafsi ninapenda kukupa hongera Mara mbili,kwanza kwa KUZALIWA UPYA na pili kwa KUISHI TEMEKE KWA WAJANJA......,Bila shaka ww utakuwa ni jirani yangu.
ReplyDeleteN.B
kwa kuishi kwako TEMEKE(TANDIKA) Naomba utumie fursa hiyo kuupload na kutuhabarisha matukio mbalimbali ya KIMICHEZO hasa MPIRA WA MIGUU yanayoendelea pala ktk kiwanja cha TANDIKIA(MABATINI) ili uweze Kuwatangaza VIJANA WETU AMBAO WANAVIPAJI LUKUKI VYA FOOTBALL KUTOKA TEMEKE.Nakutakia kazi njema
hapa umeniweza mpenz wangu yaani sina la kusema zaidi nawaachia waosha vinywa.
ReplyDeleteHongera sana ankle. Vipi birthday yangapi hii?
ReplyDeleteHuyo ni lazima atakuwa bi mdogo bi wakubwa wana nyodo hawawezi lisha waume zao keki kimahaba hivyo.Happy birthday.
ReplyDeleteankali ndani ya uzi wa ukweli Lazima birthday ipendeze Michu.
ReplyDeleteHongera sana mzee wa Tandika...TMK oyeeeeeee!
ReplyDeleteAmen Chuzi, Happy belated birthday nakutakia umri mrefu na afya tele.
ReplyDeleteUBARIKIWE MZEE WA LIBENEKE UFIKISHE MARA MBILI YA UMRI ULIOKUWA NAO SASA
ReplyDeleteAnkal kumbe tuna aunt mzuri hivyo. waw.... sasa mbona umetufichia muda wote huo jamani? au uliogopa wachakachuaji. congrats alot
ReplyDeleteHappy Birthday Muhidin Michuzi. Mwenyezi Mungu akuzidishie. Pia nakutakia Eid Mubarak.
ReplyDeleteMdau
London
Happy belated Birthday and Eid Mubaraak. You have a beutiful wa - ubavu.
ReplyDeleteAcha hizo tupe picha zote tufaidi bwana
ReplyDelete