Marehemu Coster Mowo enzi za uhai wake

Mpendwa wetu COSTER MOWO tarehe 19/8/2011 unatimiza mwaka mmoja toka ulipo tuacha ghafla na kuiacha familia yako kwenye giza nene,hakika machoni tunaonekana tukichoka mioyo yetu daima bado inasononeka. 

Tunakukosa sana japo tunaelewa wakati wote wewe ni sehemu ya maisha yetu na upo mioyoni mwetu. Tunaendelea kukuombea,unakumbukwa sana na mkeo kipenzi,wazazi wako,watoto wako,ndugu,jamaa,marafiki zako na uongozi mzima wa flavanite. Roho yako ipumzike kwa amani daima.

Kutakuwa na misa ya kumbukumbu tarehe 19/8/2011 nyumbani kwao kiboroloni,moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...