Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara ,Nyalandu akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais, wa Zanzibar, Balzoi Seif Iddi, Bungeni Dodoma leo. 
Mbunge wa Nzega (CCM) Dkt. Hamis Kigwangalla akichangia Bungeni leo wakati wa kujadili makadirio ya mwaka wa fedha 2011-2012 ya Wizara ya Viwanda na Biashara Dodoma . (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO) 
Wabunge wakibadilishana mawazo nje ya viwanja vya Bunge Dododma leo (kulia) Ritta Kabati (viti maalumu-CCM), (kushoto) Rajab Mbarouk Mohammed (CUF-OLE) na Prof. Kulikoyela Kahigi (CHADEMA-Bukombe) mwenye miwani. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Maelezo ya picha ya pili...ni Mhe. Joseph Roman Selasini wa Rombo kupitia CHADEMA na si Mhe. Dkt. Kigwangalla wa Nzega.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...