Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge) William Lukuvi (aliesimama) akisoma muongozo leo Bungeni mjini Dodoma, ((kulia) ni Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja.
Mbunge wa viti maalumu (CCM), Zainab Vullu akichangia Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo kwa mwaka wa Fedha 2011-2012 leo Bungeni mjini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA), John Mnyika akitaka ufafanuzi wa muongozo Bungeni Leo.
Mbungu wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee (kushoto) akinyoosha mkono ili aweze kupokelewa karatasi ya kuomba idhini ya Spika kuchangia hoja ya majadiliano ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2011-2012 Bungeni mjini Dodoma leo.Kulia ni Mbunge Owenya (CHADEMA) .
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Faida Bakari (kushoto) na Ritta Kabati kwenye viwanja vya Biunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo na Katibu wa Jukwaa la wahariri nchini,Neville Meena katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.Picha na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...