WAZIRI wa Ardhi, Nyumba naMaendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka(katikati) akihojiwa na watayarishaji wa kipindi cha daladala (kushoto )ni Danny Kijo na( kulia) ni Christina Mbunda.
0999 ni WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka wa pili kutoka (kushoto) akiwa na Naibu wake Goodluck Ole- Medeye wa pili kutoka (kulia) mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ya wizarayake leo(jana) Bungeni mjini Dodoma.
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba wa pili kutoka (kushoto)na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma,Hawa Ghasia wa pili (kulia) wakizungumza katika viwanja vya Bunge leo(jana) mjini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Vullu wa kwanza(kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum,Zarina Madabida wa kwanza (kulia) .PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO MAELEZO


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...