Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Makamu Mwenyekiti wa - National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Makamu Mwenyekiti wa - National Committee of the Chinese People's Political Consultative Conference baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma leo


sorry kaka michuzi na wadau wa humu! Naomba kujua kama kweli sisi watanzania atuna zawadi nyingine zaidi ya vinyago kuwapa wagani wetu?
ReplyDeletemdau SOMALIA