Hii ni audio iliyosikika siku ya Jumapili, Agosti 14, 2011 katika kipindi cha Njia Panda na Dk. Isaac Maro akizungumza na Langa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya, mapambano aliyomo sasa katika kuyaacha na mipango ya baadaye ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya katika harakati za kuiokoa jamii ya Tanzania.
Da' Subi|wavuti.com

Msanii wa Bongo Fleva, Langa a.k.a Rais wa Mateja, ambaye amefanya interview na Radio Clouds Fm kupitia kipindi cha njia panda ambapo Dada Subi Nukta 77 alifanikiwa kuinasa interview hiyo.bofya hapo juu kusikiliza alichokiongea Langa.



mwana wewe babu kubwa unaweza kuelezea vitu kama umeacha utafika mbali wewe ni noma kwenye hip hop safi sana kwa elimu ya bule mtaaan safi kwa kuacha mungu atakusaidia wewe unajua ujielezea kuna watu wanajua yote ila hawajui kuelezea wewe mkali kaza mwana
ReplyDeletejitahidi mdogo wangu, achana na madudu hayo, yameharibu vijana wengi sana. hongera sana kwa hatua uliyoifikia, endelea kukaza buti, Mungu akusaidie na akuongoze.
ReplyDelete