Za kwako mdau michuzi? Pole sana kwa kazi kubwa ya kutujuza wanajamii kupitia blog yako ya jamii. Mimi binafsi ni mpenzi mkubwa sana wa hii blog yako ya jamii. 


Leo napenda kutambulisha blog yangu mpya ya masuala mazima ya REAL ESTATE, http://www.juedhomes.blogspot.com/ kupitia blog ya jamii. 



Hapa  basi watanzania watapata kuifahamu na kunufaika na blog hiyo mpya kwani imerahisisha sana mchakato mzima wa kutafuta nyumba, viwanja, na kwa wale wenye nyumba au viwanja kupata wateja kupitia blog hii. Blog hii vilevile ina option ya kuona ramani ya mahala ilipo nyumba hiyo au kiwanja. 


Vilevile nakaribisha maoni na ushauri wowote juu ya kuboresha blog hiyo mpya kupitiaedmeenda@gmail.com




Karibuni sana wadau kwenye hii blog mpya ya REAL ESTATE. Asanteni nyote kwa ushirikiano wenu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hizo bei zenu zinaonyesha mna malengo ya kukodisha watu kutoka ughaibuni na wale waTZ wenye uwezo wa kujenga. Kwa ufupi soko lenu ni dogo kwa hivyo biashara yenu haitaingiza faida kubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...