Madereva wa Malori kama haya udereva wao huwa wanajifunziaga wapi??maana anachotaka kukifanya hapo hata hakiwezekani na hakikuwezekana kabisa kutokana na karavati alilotaka kupita kuwa dogo kulinganisha na urefu wa gari hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa ni kukamata tu na kuwafutia Lesseni, ili iwe fundisho kwa wengine wengi. Hawa nio wanaosababisha ajali kila kukicha. Tanzania Bila ajali haiwezekani kabisa!

    ReplyDelete
  2. Hawa ndio aina ya madereva ambao lazima waivute kwanza ndiyo kichwa kikae sawa. Sasa unatarajia nini hapo?

    Mamlaka yenye kutoa leseni ipo hapa Tanzania?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...