Waziri wa Maendeleo ya Mifungo, Dk. Mathayo David Mathayo akifunga maonyesho ya kilimo nyanda za juu Kusini jijini Mbeya kwenye kiwanja John Mwakangale.
Waziri David Mathayo akipokea maandamano ya wakulima wa nyanda za juu kusini wakati wa kufunga maonyesho ya nanenane jijini Mbeya.wa kwanza kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mh. John Mwakipesile.
Waziri akipata maelezo toka kwa mkuu wa wilaya Mbeya Evance Balama alipotembelea banda la halmashauri ya wilaya ya Mbeya.


kuona picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...