Mdau Ruger Kahwa, ambaye ni mkuu wa ofisi ya United Nations Office for Coordination for Humanitarian Affairs(UNOCHA) nchini Papua New Guinea ( wa kwanza kulia) akiwa kwenye matembezi ya amani na Rais John Momis wa Autonomous Bougainville Government ( wa pili kutoka kushoto) na Mwakilishi mkazi wa UNDP Papua New Guinea (wa pili kutoka kulia) katika kuadhimisha miaka kumi ya kusaini mkataba wa amani kati ya Kisiwa cha Bougainville na serikali ya Papua new Guinea mjini Buka – Boungainville. Hii inaonesha jinsi Watanzania wanavyoshiriki katika shughuli mbalimbali za kimataifa ikiwemo shughuli za kuleta amani duniani.
Home
Unlabelled
mdau apeperusha vyema bendera yetu papua new guinea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...