Asalaam aleykum, 

Naam, katika kuendeleza kupeana mawili matatu katika siku 3 zilizobaki nimeona itakuwa si haba tukawapa ile filamu ya THE MESSAGE ambayo inapatikana hapa:

Pia napenda kuwakumbusha kuwa jitahidini mtoe zakatul fitri mapema ili isije kuwa usumbufu siku ya mwisho kwani walengwa ambao ni yatima na wengine wasio jiweza wapate chochote cha kuwafanyia wepesi.

Hali kadhalika kwa mlio nje ya nchi ambazo kwa kiasi kikubwa zimeendelea nashauri michango yenu ipelekeni nyumbani kwani huko ndoko kwenye mahitaji zaidi. Na pia nashauri kwa wenye uwezo basi kusali tuu haitoshi, kama mna uwezo basi jaribuni kuwatembelea wagonjwa mahospitalini kwani wako katika hali ambayo hawajiwezi na watafarijika kupata ugeni toka kwenu. Pia jitahidini kuwaomba radhi mlio wakosea na kuomba Msamaha kwa Mwenyezi Mungu katika kipindi hiki.

Wabillahi Taufiq
Mwinyi wa Kisarawe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tunamkumbuka Anthony Quinn alivyoigiza kama Hamza. He was an excellent actor.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...