Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF Bw. Best Ntukamazina akikabidhi baadhi ya zawadi kwa mlezi mkuu wa kituo hicho Bi Khadija Hassan huku akishuhudiwa na Afisa mwandamizi wa uendeshaji wa Mfuko Bi Salma Mtaullah.
Meneja Masoko Bw. Best Ntukamazina akisaidiana na wafanyakazi wa Mfuko wa GEPF kuhakikisha kila mtoto anapata futari ya kutosha.
Baadhi ya watoto wa kituo hicho wapatao 80 wakiendelea na kuburudika na futari iliyoandaliwa na Mfuko wa GEPF.
Kaka yangu nimekuona na hiyo kanzu nikacheka kidogo, ubarikiwe kwa kuwakumbuka yatima, Columbus, oh
ReplyDeleteHongera sana kwa kuwakumbuka ndugu zetu mayatima, hili jambo ndilo linalotakiwa kwa jamaii nzima kusaidiana na kuwakumbuka walio na uwezo mdogo.
ReplyDeleteBro. umesahau kitu kidogo tu, huwa tunavua makubazi kwenye mikeka then uvaa tena ukitoka(makubazi ni easy access),utaniwia radhi kidogo but tunakupongeza.
You look good in that outfit Best. Kwa sababu nguo nzuri sio mashekhe na mapadri kila mtu anaweza kuvaa na kupendeza. Uislamu hauna ubaguzi hata joho ungetaka ungevaa. That is real marketing. Lakini kuwalisha watoto yatima ni kila siku hawa hawali siku moja kila siku wanahitaji kukumbukwa. We fikiria mlo wa nyumbani tu unavokugharimu. Hawa watoto wana siri yao moja, kuna siku wanakosa chakula ndani ya nyumba hawagomi kama wanavyogoma wanafunzi wa chuo Kikuu wanaopewa ruzuku za bure, wanaamua kufunga na kunyamaza kimya wakirudi shuleni wanakoroga uji bila ya sukari na kulala bila ya kumtia aibu mlezi wao na wala kumgomea. this should be a good lesson to the Mlimani children!!!!!
ReplyDeleteHII HABARI YA KUFUTURISHA SASA IS TWO MUCH KILA SIKU KUFUTURISHA
ReplyDelete