Mh,Balozi Maajar(watatu toka kushoto) akijumuika pamoja kwenye futari ya pamoja DMV
Mh Balozi Maajar akijumuika na Watanzania DMV katika futari ya pamoja leo Juamapili Aug 28,2011
Dr Hamza Mwamoyo akiwa pamoja na Seif Mo wakipata futari
Kutoka shoto ni Swahili Villa,Kenyata,Said na Gadafi
Viongozi wa TAMCO wakiteta jambo toka kulia ni Kinyemi,Idd na Dakitari
Mz Mwamoyo akiwa na Mayor
kutoka kulia ni Jabiri Jongo,Dullah na AJ Ubao na walijumuikapamoja kwenye futari
Wakina mama wakiwa kwenye futari
Wadau wakipata futari ya pamoja
Halima akipata picha ya pamoja na familia yake
Mautaadhi wakipa futari
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...