Bro Issa,
Leo August 7th, 2011 ni miaka 7 toka Edima na Frank Ndumbalo (Chezimba Jr.) wameremete. Tunamuomba Mwenyezi Mungu azidi kutuongoza na kuimarisha ndoa yetu pamoja na familia yetu kwa miaka mingi inayokuja.

Best regards,

Frank

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Judy MhutoAugust 07, 2011

    Best Couple of this century! God will continue his blessing as always. Love you guys!!!!!

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana. Miaka 7 si mchezo! Nakukumbuka Edima ulikuwa schoolmate wangu pale Bungo Primary School-Morogoro.

    ReplyDelete
  3. Edima na frank
    Congratulations guys,we wish you nothing but happiness always........
    Lilly na sembua

    ReplyDelete
  4. frenk na Edima yaani hiyo picha mlioichakua ni nzuri sana,na hilo tabasamu na sura za bashasha zinaleta matumaini makubwa na kuonyesha kwamba miaka saba bado ni michache sana naona itakua 7x70 mungu awajaalie sana.na akhsanteni kwa upendo wenu u such a very good amdmireble familly.
    mayor washington.

    ReplyDelete
  5. Toya hengera sana, Mola awajaalie maisha marefu pamoja.

    Ezza Helsinki.

    ReplyDelete
  6. wa kunyumba hongera sana, nawatakia maisha marefu yenye furaha na fanaka.
    Londo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...