Kutoka kushoto ni Sara ambae aliufahamu ukoo wa marehemu Tangu nyumbani,anaefuatia ni Mama Mwombela nae alishawahi kufundishisha na Mama wa Marehemu Macrina Samaka enzi hizo akiitwa mwalimu Cecilia na kulia ni mdogo wa marehemu anaeitwa Juliet Samaka aliyekuja kutoka Tanzania kufuatilia maswala ya msiba.
Kutoka shoto ni mdogo wa marehemu,anaeitwa Juliet Samaka akiwa na Flavia Mwombela(kati) na Magrette Wahida.
---------------------------------------------------------------------------
KUTAKUA NA MISA JUMAMOSI AUG 13,2011 YA MAREHEMU MACRINA SAMAKA ITAKAYOFANYIKIA 

SAINT CAMILLUS CATHOLIC CHURCH.
1600 CAMILLUS DRIVE,
SILVER SPRING,MD,20903

MISA ITAANZA SAA 5:30 ASUBUHI JUU YA ALAMA(11:30 AM SHARP) TAFADHALI ZINGATIA MUDA NA TUNAOMBA WATANZANIA WA DMV NA STATE ZA JIRANI TUJITOKEZE KWA WINGI KUMUAGA,MWENZETU,NDUGU YETU NA DADA YETU,MACRINA SAMAKA ATAKAEKUA ANAELEKEA KWENYE MAPUMZIKO YA NYUMBA YAKE YA MILELE,TANZANIA

BWANA AMETOA,BWANA AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Juliet Samaka atoe hilo begi basi jamani, na roho yangu isuuzike.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana na hongereni kwa kufanikisha hili(zoezi la michango) na mungu awape moyo wa kupendana na kuzikana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...