Mshindi wa gari ya promosheni ya Airtel JIVUNIE wa mkoani mbeya Bw Albert George Mwasibata akiwapungia mikono wakazi wenzake wa mkoani humo kwa furaha mara baada ya kukabidhiwa gari yake mpya aina ya Corolla katika viwanja vya Tukuyu mbeya baada ya hafla fupi ya makabidhiano ya gari hiyo kufanyika mwishoni mwa wiki. Picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Mkaazi wa Tukuyu, Mbeya, ajishindia gari jipya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...