Mpiganaji mwanahabari Fredy Kihwele na Da'Pendo wameremeta Njombe.
Kwa mapicha ya kumwaga ya mnuso huu yaliyopigwa na Francis Godwin
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bro, naomba nichukue nafasi kukupongeza ktk kufaninkiisha hili. Mungu yu pamoja nawe. Pia pole sana kwa ajali uliyopata nadhani ni siku moja kabla ya kumeremeta. Mungu mkubwa alikuponya ktk ajili. Tunapaswa kushukuru kwa kila jambo. Pia nasikitika kuikosa siku muhimi kama hiyo tena ya ma best friend kwa siku chache kabla sijarudi. Yote ni mipango ya Mungu, tunamshaukuru amefanikisha. Tupo pamoja kaka. All da best katika maisha mapya. Its me ur brother from another mother with much love from China.
ReplyDeleteMungu akubariki mdogo wangu Pendo.
ReplyDeleteDada Rose