Mtangazaji maarufu mkoani Iringa Emmanuel Nyeho a.k.a Mtoto ya Mungu (kulia) akiwa na mwanalibenek kiongozi wa Iringa Bw.Francis Godwin. Mtangazaji huyu kwa zaidi ya miezi miwili haonekani kabisa katika mkoa wa Iringa na wala hasikiki katika vyombo vya habari amepata kutangaza katika radio Overcome Fm na mara ya mwisho alikuwa katika radio Hoot Fm ila kwa sasa haifahamiki ni wapi alipo kwa yeyote mwenye taarifa anaombwa kutusaidia kumpata mpiganaji mwenzetu 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...