Shikamoo kaka Michuzi,
za kazi?natumai hujambo na tena pole kwa kazi Kaka.Washington wajambo?
Sasa kaka,nina tatizo kidogo na nimeona Globu ya Jamii ina uwezo wa kunisaidia
ama pia wakanipotezea ila wacha nijaribu bahati ya mtende.

Kaka nakaa mtaa wa Mtoni Kijichi(karibu na pale ulipowahi weka picha ya mtu
aliyejenga nyumba ikizunguka nguzo la umeme wa Tanesco).Nimepanga kijichumba na
sebule nzuri tu yenye maji na umeme kama kawa.Ila ni vidogo mno.Nimezunguka na
madalali huku kwani napapenda kwa kweli ila sijapata panaponifaa.Si unajua mambo ya
madalali!!!
Naomba kama yupo mwana globu ya Jamii anayekaa maeneo hayo(tunajuana) na anacho kiji Servant Quarter ama chumba na sebule yenye maji na umeme na mazingira masafi/tulivu anishtue kwenye nambari 0656179885.Nahitaji ASAP na hata kwa sasa mama mwenye nyumba kanifanyia tu hisani,ila mkataba uliisha mwezi uliopita.Ntashukuru sana
Kaka Michuzi mtu wa D.C!!!!siku njema!!!
Kaka Michuzi mtu wa D.C!!!!siku njema!!!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...