Ramadhan Kareem kwa wadau na jamii yote pamoja na hii globu yao. Tafadhali ankal nirushie ombi langu hili la ushauri. Nahitaji kujua kutoka kwa mdau yeyote website ya kununua used cars ya Japan yenye money back guarantee buyer protection kama ilivyo tradecarview na paytrade yao. Ninahitaji kulinda kabajeti uchwara changu kuleta kamkoko ka kuzeekea kwenye foleni hapa Bongo. Tafadhalini sana wadau.
Shukrani sana ankal,
Again, swaumu njema bandugu!
Mdau wa Globu ya Jamii,
Email yangu kapuni ankal pliiiz!
Shukrani sana ankal,
Again, swaumu njema bandugu!
Mdau wa Globu ya Jamii,
Email yangu kapuni ankal pliiiz!
Huyo atakayekubali akuuzie gari uichukue kwenye halafu umwambie mbovu akurudishie pesa kwa akili yako unafikiri yupo kweli? Labda kama ni ferrari hiyo sawa. "Used car sold as seen".
ReplyDeleteAnon hapo juu acha pumba na papara kwenye misaada tutani ya watu, kama hujui kitu kaa kimya, mdau kaomba msaada anajua kuna wadau wanajua. Hizi protection sio unatumia gari halafu unarudisha kama unavyokurupuka wewe - middle party ana release payment yako kwa muuzaji baada ya mnunuzi kuconfirm kuwa kapokea documents muhimu na kwamba transaction imefanyika sawia bila udanganyifu. Kukiwa na tatizo payment inarudishwa kwa mnunuzi.
ReplyDeleteKama hujui kitu si ukimye tu ujifunze na wewe...unalipwa kucomment humu!