MAREHEMU ISACK MFINANGA.
Bw. Arnold Alfred Mfinanga, anasikitika kutanga kifo cha mdogo wake Isack Alfred Mfinanga kilichotokea Hospitali ya Muhimbili tarehe 12/08/2011
Ratiba
13/08- Maombolezo nyumbani kwake Mbezi Beach, Makonde- Dar es Salaam
14/08- Saa nane mchana, mwili wa marehem utafika nyumbani kwake - Saa tisa misa nyumbani kwake - Saa Kumi last respect
15/08 - Saa tatu asubuhi, Misa - Kanisa la KKKT Tangi Bovu- Mbezi Beach
- Saa Nne Mwili utasafirishwa kuelekea Mwanga, Usangi
16/08 - Mazishi Mwanga, Usangi
RIP our dear friend Isaac(Nanga)Mfinanga.Phillemon Ntahilaja
ReplyDeleteRest in peace Isaac "Nanga" as we used to call u. I can't contemplate your passing - just a year ago we endlessly teased each other. Good bye friend
ReplyDeleteRIP Isaac , from Ahmed Chande-Dallas Texas
ReplyDeleteRIP ISAAC.
ReplyDeleteFROM ZANZIBAR