MC Catunda at the bore hole site at the start of the drilling on June 8, 2011


 The long time dream has finally come true !!.Finaly clean water is gushing  out  like mad after a long, long wait for Mwengemshindo  Villagers  in Songea,  Tanzania. The well construction  project will help  more than 100 orphan children Thanks  for all who helped  us Mwangaza Jitegemee Foundation  in USA, JAPAN and TANZANIA to accomplish this noble cause. Asante sana - MC Catunda
Water drilling engineers drenched to the skin after they hit water  low below
 Water at last!
 Some of the ophans rejoice the precious liquid
MC Catunda and Kobayashi, some of the members of the Mwangaza Jitegemee USA na Japan who financed the multi million shilling water project. This was on June 8, 2011 at the start of the project.
KUDOS TO YOU GUYS!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hizi ndizo habari za kutangazwa mara kwa mara kwani zinatia moyo na kututhibitishia kuwa nchi yetu INAWEZA KUFANYA MENGI MAZURI.Tusibaki tu kuwaangallia wale viongozi wanaojiangalia nafsi zao na kupoteza mabilioni ya pesa kwa maslahi yao ya kibinafsi.Tuwaangalie watu kama hawa ambao wanaturudishia imani na utulivu pia na hope kwamba kumbe TUKIAMUA TUNAWEZA

    ReplyDelete
  2. Hawa ndo wabeba box wenye manufaa kwa taifa letu! Sio nyie wengine mna maneno kibao, matendo zero, Ubarikiwe kaka!

    ReplyDelete
  3. Kaka michuzi tusaidie email ya huyu kaka wa songea tu link nae, kwani anaweza kutufikia kijijini. Asante sana. Mdau

    ReplyDelete
  4. Hongereni! Lakini jengeni sehemu ya kunawia mbali na kisima. Mkiendelea kunawa hapo, maji machafu yanaweza kuingia ndani ya kisima na kuchafua chanzo. Baada ya muda mtaanza kupata maradhi mbalimbali mfano kuhara, magonjwa ya ngozi nk. Kwa uzoefu nilionao, kisima kikichafuliwa, ni kaaaazi kwelikweli kukisafisha! Huu ni ushauri wa bure!

    MCL

    ReplyDelete
  5. Safi sana kijana.Huo udongo mwekundu mliiupeleka Maabara kupima madini fulani ya bei mbaya?(sitayataja).Only exploration Geologists can understand what I mean!!

    David V

    ReplyDelete
  6. Bwana DC
    Tafadhali mpe ndugu huyu hongera on our behalf
    Mie bi nafsi ningependa kujua hesabu roughly
    How much would such a venture cost
    Are drilling services available throughout Bongo?

    ReplyDelete
  7. Hawa ndio WABEBA BOX wanaotakiwa. Safi sana Kaka.

    Sio Wapiga box wengine pesa yao kazi ni KUPOMBEKA na KUNGONOKA tu.

    Big up sana Bro.

    ReplyDelete
  8. Mungu akuzidishie mkuu.
    Anaonyesha maendeleo siyo tu ufanye mpaka uwe mwanasiasa au kwa maslai fulani ni jukumu la kila mwenye uwezo kumsaidia asiye nao kwa lengo la kutokomeza umaskini.

    ReplyDelete
  9. Safi sana,kweli upo wezekano wa kupatikana maji ya kudumu ha da umeme,tatizo letu hapa tanzania ni kwamba seriakili inawekeza sehemu moja tu kama vile umeme na maji safi.

    Wakati ilitakiwa kila mkowa kuwe na vyanzo vyake vya maji safi na umem,ili isiweze kuathiri nchi nzima kunapotoke na matatizo.

    ADHI yate imejaa maji everywhere unapokwenda uchimbe kidogo tu baji yamepatika,lakini watu wana shida na maji,serikali inashindwa kutekeleza wajibu wake,serikali yoyote ina wajibu wa kuwapati wananchi,maji,umeme,elimu,huduma ya afya. Hizi sio sera za chama bali ni sera za serikali yoyote. lazima lazima,hakuna cha kujisifu kusiasa.

    Nawapa hongera wabiga BOX sana,na mimi soon kama mpiga box nitashusha mashine yangu kama hiyo tz. Nina machungu sana.lolz

    ReplyDelete
  10. Hongera watoto wa swako kwa kupata maji. na asanteni wote kwa michango yenu Mungu awabariki na awazidishie daima. pia shukurani za dhati kwa Mr Kobayashi ありがとうございました! na wote walioshiriki kuchimba kisima. God bless you all.
    From Fatina Muhesa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...