Angalia roundabout ya Mwanza City
                                                                Na Mdau ESmollel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. looking nice, kabla wamachnga na omb omba hawajafamia!

    ReplyDelete
  2. MJI WA MWANZA NI MJI MSAFI SANA KTK MIJI YA TANZANIA, PANAONEKANA KUNAISHI WAUGWANA SANA KTK JIJI HILI NIKIPATA LIKIZO NITAENDA KUTUMIA PESA YANGU MWANZA KWA MAPUMZIKO.

    ReplyDelete
  3. Mwanza na Kilimanjaro (Moshi) ni miji pekee iliyo misafi nchini mwetu (sijui ni lini Dar nayo itakuwa kwenye hali hii). Viongozi wa miji hii wanastahili pongezi kwa hilo. Tatizo la mji wa Mwanza ni viongozi wa Halmashauri ya Jiji kujisahau katika suala zima la kuutanua mji (hasa katika nyanja ya miundo mbinu kama barabara na huduma ya maji safi na maji taka). Kuna ongezeko kubwa sana la watu katika mji huu. Wakazi wengi wa kanda ya Ziwa, kimbilio lao ni Mwanza. Itafikia kipindi huduma za barabara, na maji zitashindwa kukabiliana na ongezeko hilo la watu.

    ReplyDelete
  4. Kumbe haya mambo tunayaweza tukidhamiria! Rock City na K-njaro ni mifano mizuri ya watu wenye ustaarabu na mazoea ya kuwa wasafi na watendaji wazuri kwenye suala la kubyutuisha majiji yao!

    ReplyDelete
  5. Ukitaka watu wasichafue mji uweke sheria. Atakaye tupa taka faini, atakayefanya haja ndogo faini.

    ReplyDelete
  6. aise hii inavutia sana sio hapa Dar na njaa zetu tumejaza mabango ya matangazo tu kwenye roundabout zetu na mapato yake hatuyaoni hata kwenye kufagia barabara.

    ReplyDelete
  7. Mwanza panafaa kweli utafikiria ni mji mkuu wa tanzania. Dar es salam mko wapi? Madau toka buja

    ReplyDelete
  8. Wadau msidanganyike. Hiyo picha imechukuliwa sehemu safi lakini kuna maeneo mengine ni machafu vilevile. Hata hivyo nakiri Mwanza ni pasafi kuliko Dar. Dar imezidi uswahili kuliko ustaarabu. Na wenyewe wanafikiri uswahili ndio ujanja.

    Moshi na Arsuha ni pasafi kwa sababu ya sheria na watu wake si waswahili sana kama Dar au Tanga.

    ReplyDelete
  9. Daah,kaka Issa picha hiyo imenikumbusha mambo mengi sana. Imenikumbusha uanafunzi wangu Bwiru girls (1989 - 1992). Pia nimeiona Bugando kwa mbali - imenikumbusha marehemu baba yangu (Allah amrehemu)- mwisho wake duniani uliishia kwenye hospitali hiyo mwaka jana.

    ReplyDelete
  10. Mwanza safi sana, tatizo la Dar ni uswahili na ujanja ujanja. Hapa Dar watu wanachuma tu pesa na karibu wote ni wakuja. Hakuna mwenye future plan. Ni aibu kuwa na jiji kila siku kipindupindu, typhod, foleni, matusi, kelele, hewa nzito na kero za aina zote.

    ReplyDelete
  11. watu wa bara bwana kashfa zimewazidi eti "uswahili" , mbona ndo mmejazana huku na kila leo tunawapokea maelfu toka bara

    ReplyDelete
  12. Yeeee bhagosha, kaya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...