Salam,

Global Fusion Music & Arts Inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika Charlton House Hapa London.

Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts.

Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanaga.

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. yote tisa mzee raza ni mkali na huyo mzee wa kizungu huwezi kusema kama ni mzungu huyo ni mzanzibar kushinda hata wazanzibar wa sikuhizi maana jinsi anavyoongea kiswahili chake cha zanzibar ya kale haswa.

    ReplyDelete
  2. Taaluma ni kuizamia, na hawa wamefanya hivyo. Nawapongeza kwa mafanikio. Hongera mzee Raza. Sanaa hii huku kwetu imeingiiliwa na biashara na kwa hiyo wasanii wale wa Mwenge, Oysterbay na hata Arusha Clock Tower wanafyatua tu. Wamekuwa kama mashine ya kudurufu tu kwa ajili ya watalii. Kuonyesha simba na Mmasai au twiga na Kilimanjaro kwa nyuma. Kazi zote zinafanana - kudesi tu.

    Mzee Raza pongezi na kizungu kipo cha Cambridge safi sana, ila kwa nini usiongee kiswahili kukuza lugha yetu. Huyo Eddy anachanganya sana na Kingerza kwa sababu ya kukaa huko miaka 15 mbona huyo Mzee ameishi huko miaka zaidi ya 65 na hachangaji lugha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...