UZOEFU WA KAZI ..................KUANZIA MIAKA 5
UJUZI WA UPISHI..............AWE NA UWEZO WAKUTOSHA IDARA ZOTE ZA JIKO
ELIMU ............................. KUANZAI CHETI NA KUENDELEA
KURIPOTI KAZINI.............. HARAKA IWEZEKANAVYO
UWAJIBIKAJI........... KUJITUMA NA KUWEZA KUFANYA KAZI MASAA MENGI
MSHAHARA.............MNONO SANA
MAHALI....................

MTWARA
ENEO LA KAZI...........HOTEL YA NYOTA 3
AINA YA BIASHARA YA CHAKULA.............A LA CATER NA LIVE BBQ
MALAZI ............ CHUMBA CHA CHEF KIPO, VINYWAJI NA CHAKULA BURE
MATIBABU............... BURE
UFANISI.................. AWE CHEF SHUPAVU NA MKALI HASA

KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA KUTUMA MAOMBI TAFADHALI TUMIA BARUA PEPE HII issakesu@gmail.com NA UTAJIBIWA HARAKA SANA KUMBUKA KUAMBATANISHA CV YAKO NA NAMBA YA SIMU YAKO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mnaposema mkali mnamaanisha awe anawakata vibao wasaidizi wake?au mtaalamu na mbunifu? nijuavyo mimi kupigana kazini ni KOSA LA JINAI.Chumba cha shef kipo? kumpa shef chumba ni kumfanyia masihara kwani mtu kama shef inabidi mumpe NYUMBA kwani hata kama anafamilia asihofu pa kuwaweka. Asanteni kwa kutangaza kazi namna hiii nnayaomba makampuni mengine yaige mfano huo

    ReplyDelete
  2. Asante sana kwa kutangaza nafasi za kazi,mimi ni mdau nipo nje ninasifa zote ninafanyakazi cumberland hotel london kwa miaka 6 sasa.nilitamani kuomba hii kazi lakini niliposikia ipo Mtwara basi,lakini kama kuna nafasi za kazi DSM tujulishe.hotel kama Royal Palm .asanteni sana.mimi mdau kutoka London.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...