Mshauri wa Mauzo wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Prosper Massano (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CoET) kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mfanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Benki ya NBC Tawi la UDSM, Victoria Michael (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali za kibenki zitolewazo na NBC wakati wa semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Chuo cha Uhandisi na Teknolojia cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (CoET) kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambayo NBC ilidhamini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (kushoto) akipiga picha na baadhi ya washiriki wa semina hiyo siku ya uzinduzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...