Kipa wa Man United akigaragara uwanja mzima wakati akiruhusu goli la kujifunga wenyewe dhidi ya West Bromwich katika mchezo uliomalizika kwa ushindi mwembamba wa bao 2-1. Kwa habari zaidi nenda BBC SPORT - BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi huwa kuna ushindi mwembamba na mnene? Point na zenyewe huwa zinatofautiana kulingana na idadi ya magoli? Liverpool iliyotoka sale ya 1-1 na MU iliyopata goli 2-1 nani ni mshindi?

    ReplyDelete
  2. Eti ushindi mwembamba mbona nyinyi LIVERFOOL Mmetoka Draw.ushindi ushindi tu.

    ReplyDelete
  3. Goli la kujifunga? Huu ndo ushabiki wa kitanzania. Angalieni Mechi acheni kusikiliza mambo ya vijiweni. Tatizo ni kwamba kipa alifungwa goli la kizembe sio la kujifunga mwenyewe. Yeah, hii ni mechi ya pili De gea akionyesha unyanya wake kama Almunia.

    ReplyDelete
  4. DDG ana mchecheto ukimuangalia tu utahisi. Akienda Stoke City watamfunga kama MANU hawajanunua mechi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...