Baadhi ya wasanii wa Parapanda Theatre wakijiandaa kwa tamasha la kesho saa 11.30 jioni kwenye viwanja vya Jiji la Gothernburg. Nje tu ya Ukumbi wa Sanaa wa Gothernburg ambapo onyesho la Antigone linapikwa na litaonyeshwa.
Wasanii wa Parapanda na Mwongozaji wao Mgunga wakifuatilia maonyesho kabla ya wao kupanda jukwaani
Mwongozaji Mgunga akijdali jambo la kiufundi na Mkuu wa ala Frank Samatwa mbele ya jukwaa wakati wa matayarisho


Michuzi msiharibu majina ya nchi za watu!!ni Göteborg!!!!
ReplyDelete