Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Balozi George Nhigula wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo jioni.Marehemu Balozi George Nhigula alifariki tarehe 13 mwezi huu katika hospitali ya Magomeni mikumi alipokuwa anapatiwa matibabu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Balozi George Nhigula wakati wa mazishi ya Balozi huyo yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo jioni (picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...