Uongozi wa Tanzanian Muslim Community in Washington DC Metro (TAMCO) unawatakia wote IDDI MUBARAK.
Pia mnakaribiswa katika sherehe za Aidil Fitr za Pamoja zitakazo fanyika at:
Hillandale PAB - Hillandale Local Park:
10615 New Hampshire Avenue,
Silver Spring,
MD 20903
SAT. 09/03/11
Starting at 3.00PM
Uongozi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...