Mpiga Picha mwandamizi Othman Mapara (mbele shoto) pia alikuwepo wakati wa picha ya pamoja pamoja na kamkoba chake na alipomaliza tu alikimbilia kwenda kutafuta futari
 
Viongozi waadamizi wa kitengo cha Madawa ya kulevya wakisikiliza kwa utulivu maelezo yaliyotolewa na waratibu pamoja na waathirika wa madawa ya kulevya katika ziara yao kujifunza jinsi ya kupunguza matumizi ya madawa Zanzibar
 
Waratibu wa Sober House Tomondo Suleiman Mauly na Abdulrahman Abdulla (Mani) wakitoa maelezo mbele ya Maofisa waandamizi wa madawa ya kulevya
 
Mmoja katika vijana waliopo Sober akielezea uamuzi wake wa kujiunga na Sober House kuachana na madawa na jinsi anavyoendelea kupata ushauri nasaha, dawa pamoja na maelezo
Vijana wa Sober house tawi la Tomondo wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa waandamizi wa madawa ya kulevya. Picha na Othman Mapara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hii ni very effective project especially kama kutakuwa na programme ya kuwamasisha vijana walioacha ulevi kurudi katika masomo,natumaini itaanza kusambaa zaidi na miji mingine kama Tanga ambapo mpaka mapolisi wamekuwa mateja.
    Halafu naomba nyinyi waratibu wa Sober house mujifunze principle and disciplines of presentation,sio ustaarabu kuongea na watu huku mikono umeitia mfukoni,uzito wa message unaupoteza.
    Ahsante
    Mdau wa Chumbageni,TANGA

    ReplyDelete
  2. Polisi wa kuzuia madawa ya kulevya Zanzibar airport hawako proffessional wakiwahiji raia wanaorudi nchini kutoka ugaibuni. wanauliza masuali unaishi wapi weye? onyesha kitabulisho chako, lete pasi yako nione nk. Perosnality hawana, utadhani ni poters kwa jinsi wanavyo vaa. Mujipange kimkakati na kitaalamu kuwagungua waingizaji dawa. Nasikia akipita taajiri Nx@x&^*d hakuna kusachiwa wala nini anapita tu na wanasubiri 'posho'. Ni ngumu sana kupambana na dawa za kulevya

    ReplyDelete
  3. Hivi kwa nini wazanzibar huwa hawapendi kuchomekea mashati?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...