Wenye data msaada tutani tafadhali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hili eneo lilikuwa stesheni ya Relwe, kama mdau alivyosema. Baada ya mabasi ya Relwe kufa, eneo hili liliripotiwa kununuliwa na Jimbo Katoliki la Mbeya, kisha baadhi ya ofisi zimepangishwa kwa shughuli mbalimbali. Hivi karibuni eneo la mbele limeonekana kukarabatiwa, labda kwa shughuli za kibiashara

    ReplyDelete
  2. Jamani MBEYA yetu yapendeza ebu WADAU angalieni hiyo background ilivyotulia.I miss MBEYA kwa kweliii.
    Mdau-KWA BIBI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...