Mabondia,makocha pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini wakiangalia DVD zinazotahalishwa na Kocha wa mchezo wa ngumi timu ya Ashanti na Timu ya Mkoa wa Ilala kimichezo, Rajabu Mhamila 'Super D' ayupo pichani ambazo zinafundisha mafunzo ya mchezo huo kabla ya kuondoka kwenda Msumbiji kushirika Mashindano ya 'ALL AFRICA GAME' yatakayoanza mapema wezi ujao timu hiyo ni ya kwanza kwa Tanzania kuondoka leo. Picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.com
Home
Unlabelled
TIMU YA NGUMI YA TAIFA YAENDA MSUMBIJI KWENYE MASHINDANO YA 'ALL AFRICA GAME' LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...