Ani Michuji...Ankall!
Ani mimi iko naitwa yeye Sunil. Iko hapa Kishutu dani City centre of Dar es salaam. Nafanja kazi ya IT kwa England. Kampuni ya England nnayoContract naye kufanza hesabu na maisha mingine mingi tu. Usiku nafanza sababu meme iko mingi kabisa. Lakini leo, I mean shasha hivi, lol! meme iko nakatika dani jiji yote Dar? Can you believe this my brother? Jiji yote hamuna meme sasa hivi. Saa tisa unusu nakata meme hava. Jangli kabisa. kama meme hairudi usiku hii mimi kwishnehi. Hii naadika kwa ipad yangu saasa. Naulija sasa kama iliweza for last five days kupata meme full time hii leo nini sasa bana. Kama iko naveza ambie yeye rusha meme halafu kata subuhi nimalije kaji batu bana. Hii is not fair bana! Hii kama nafanja sabotage kwa mimi, mimi keso andamana dani kulu kabisa bana.....
Yours truly frustrated
Sunil
Ani mimi iko naitwa yeye Sunil. Iko hapa Kishutu dani City centre of Dar es salaam. Nafanja kazi ya IT kwa England. Kampuni ya England nnayoContract naye kufanza hesabu na maisha mingine mingi tu. Usiku nafanza sababu meme iko mingi kabisa. Lakini leo, I mean shasha hivi, lol! meme iko nakatika dani jiji yote Dar? Can you believe this my brother? Jiji yote hamuna meme sasa hivi. Saa tisa unusu nakata meme hava. Jangli kabisa. kama meme hairudi usiku hii mimi kwishnehi. Hii naadika kwa ipad yangu saasa. Naulija sasa kama iliweza for last five days kupata meme full time hii leo nini sasa bana. Kama iko naveza ambie yeye rusha meme halafu kata subuhi nimalije kaji batu bana. Hii is not fair bana! Hii kama nafanja sabotage kwa mimi, mimi keso andamana dani kulu kabisa bana.....
Yours truly frustrated
Sunil
hahhahhhahahhhahhahhhahahhhaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
ReplyDeletekweli mimi shangaa sasa,veve iko ona tanzagiza inawaka meme bila zimika....
ReplyDeletebarabaracheee,meme chee...hii rais kwete iko fissadi yeye bana..bona meme nakatika kwa ikulu yake apana katika?kweli mimi rudi kwetu bombay manakulwe meme iko mingi mno kuba kabisa..
trulyy,
Johnbhai jivanjeee kundibhai
Naona huyu PONJOLO, BANIANI, GABACHOLI, MDOSI, nk kweli amekasirika sana..hiyo ndio bongo ndugu baniani.. wabongo maneno mengi, Oh bongo new york na pumba kibao kamaa hizo lakini hakuna hata lolote la maana wanalofanya kuongoza nchi zaidi ya wizi na ufisadi uliokithiri kila kona, na tunasahu kutoa huduma ya msingi kama umeme...nchi yetu inakuwa kama nigeria sasa..grand theft...Funga virago vyoko wewe ponjolo, baniani, gabacholi, mdosi. pole sana kwa yalio kukuta.
ReplyDeletewewe iko huna akili kabisa PUMBAF KUBWA....
ReplyDeleteCha ajabu huyu jamaa kazaliwa na kukulia Dar.kiswahili chake kibovu kuliko MKongo wa bukavu. Wenzanu wa Uswahilini hizi adha tumeshazizoea. anyway, ndio Tanzania yako hii mr Patel or whatever your name is.
ReplyDeletehahahaha! Kweli hii ni blog ya Jamii. Big up Michuzi
ReplyDeleteEE huyu mtu kanichekesha kweli mwanzo nilijuwa umeme sasa unawaka Dar nzima,kumbe imeme ulikatwa,,,Pole sana Sunil hawa watu wa Tanesco wamekutesa mno!,,,Ewe Mwenyezi Mungu tukinge na balaa la viongozi wenye midomo ya kuweza kula na kunywa jasho na nguvu za Raiya!!!Hawamuogopi Mungu!!!Bila pesa kutafunywa na waliowachache Tanzania Dhiki na adha ya maji na umeme tungevisikia kwa wengine tu!,,,Fikilia mtu ana mtoto cchanga au mgonjwa na nyumba haina umeme,,na joto hili la Dar jamani Mwenyezi Mungu atunusuru kwa na balaa hilo!Munge Ibariki Tanzania na Raiya wake wema!Ahlam Uk
ReplyDeleteveve sunul vasha jenereta bana..no umeme wa bure tanzania hii
ReplyDeleteHuyo aliyoandika maoni yake hapo ni mbongo na siyo muhindi kama alivyowadanganya na kuwalaghai!Muhindi gani anayeweza kuthubutu kuandika kiswahili kibovu hicho?Wabonge angelieni sana msikae mnadanganywa na watu wajinga na wasiyokuwa na shughuli za maana na kuharibu lugha ya kiswahili,badala yake anaandika ujinga wake huo kwa kuona nani atatoa maoni yake!Watu wengine hawana kazi za maana wala hawana hekima wala busara!
ReplyDeleteVEVE ACHA JANJA YA NYANI HIYO NALETA HAPA PRANK KWELI MEME TATIZO KUBA SANA LAKINI VEVE NALETA PRANK KUSAGUNDUA VEVE
ReplyDeleteWabunge walalamikia wageni kuchukua ajira za wazalendo
ReplyDeleteNa Sharon Sauwa
Wabunge wamelalamikia suala la wafanyakazi wa kigeni kupewa ajira zinazoweza kufanywa na wazalendo.
Wakichangia hotuba ya makadirio ya matumizi yya Wizara ya Kazi na Ajira kwa mwaka 2011/2012, walisema pia wafanyakazi wageni wamekuwa wakilipwa malipo makubwa kuliko wale wazalendo ingawa wana sifa zinazofanana.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Angela Kairuki, alisema wafanyakazi wa kigeni katika Mgodi wa Marmo Granitor ambao uko mkoani Mbeya, wapo 32, lakini wote wanafani za mafundi mchundo, madereva na mlinzi.
“Hivi kweli ni wafanyakazi wazalendo hawawezi kufanya kazi hata ya ulinzi ya kuwafungulia milango watu, hii ni aibu hatuwezi kukubali,” alisema.
Pia alisema wafanyakazi wazalendo wenye sifa sawa na wengine wa kigeni katika kampuni moja wamekuwa wakilipwa Sh. 800,000 wakati wa kigeni wamekuwa wakilipwa na Sh. milioni 11.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Zainabu Kawawa, alisema kiwanda cha vifaa vya umeme cha Tanaleck, kimeajiri na Wakenya watupu.
Alisema wafanyakazi hao wamekuwa wakizuiwa kujiunga na vyama vya wafanyakazi na kutaka serikali kuwawezesha Osha ili waweze kutimiza wajibu wao badala ya kusubiri wabunge wawaletee taarifa ndani ya Bunge.
Alisema kuwa katika nchi zote ulimwenguni ajira ndicho kigezo cha kuondoa umaskini na kwamba raia wamekuwa wakiipima serikali katika uondoaji wa umaskini kwa kuongeza ajira.
“Sheria tunazo, lakini malalamiko ni mengi na sheria zinawalinda wafanyakazi wazalendo…Tunalo bomu kubwa sana la ajira kwa vijana kuliko hata matatizo ya wafanyakazi walioajiriwa kwa sababu huwezi kuwalinganisha na wale walioajiriwa, hana ajira lakini ana watoto wanaomtegemea akiamka asubuhi hajui watakula nini, atawalea vipi?” alihoji.
Alishangaa Ofisi ya Taifa ya Takwimu kutokuwa na takwimu za watu wangapi wameeajiriwa na kwamba pengine ndio maana hata wageni wamekuwa wakija kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania.
Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Easter Matiko, alisema ingawa wanafanya zaidi ya wageni katika mgodi mmoja mkoani Mara, wamekuwa hawalipwi mishahara inayofanana na hawana posho.
Alisema wafanyakazi wazawa wamekuwa wakikosa posho hata za kuweza kununua maziwa kwa ajili ya kuondoa sumu ambayo wamekuwa wakiipata wakati wanapokuwa kazini.
Mbunge wa Bukoba Vijini (CCM), Jasson Rweikiza, alisema wageni wamekuwa wakifanya kazi hata za kuuza maduka na machinga hapa nchini, ajira ambazo zinaweza kufanywa na wazawa.
Alisema wageni wamesambaa nchi nzima wakifanya kazi ambazo zingeweza kufanywa na wazawa.
Rweikiza alitaka wageni walioingia kinyemela waondolewe na kisha wazawa wachukue nafasi zao.
Mbunge wa Baraza la Wawakilishi (CUF) Asaa Othman Hamad, alitakaWatanzania kuona aibu mzalendo kunyanyaswa katika nchi yake.
Alisema si kwamba ajira kwa wageni zinakataliwa, bali zinapaswa zifuate utaratibu.
Msemaji wa Kambi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Kazi na Ajira, Regia Mtema, alisema kuna wimbi la kuongezeka kwa wafanyakazi wa nchi za nje wanaoingia nchini kinyume cha taratibu kwa mgongo wa wawekezaji na ambao hufanya kazi za kawaida ambazo Watanzania wana uwezo nazo.
Aliitaka serikali kufanya ukaguzi maalum katika migodi, viwanda na mashirika yote yanayolalamikiwa kuajiri wageni kinyme cha sheria.
Akiwasilisha taarifa ya Kamati Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusiana na makadirio ya bajeti hiyo, Livingstone Lusinde, alisema wageni wengi wameonekana kuwa na ajira katika maeneo ya hoteli, viwanda na pia wageni wameshika nafasi nyeti na za juu.
“Wajumbe wa kamati wangependa kufahamu kama ni kweli vijana wetu wasomi na waliomaliza vyuo vikuu wameshindwa kuandaliwa kushika nafasi hizo katika nchi yetu?”alihoji.
CHANZO: NIPASHE