Hapo kuna malumbano makali sana kuhusiana na madaladala hayo yaliyopigana pasi wakati moja likikatisha kulia na lingine likienda moja kwa moja maeneo ya Kinondoni Kanisani,mchana wa leo.ajali kama hizi nyingi ni kutokana na uzembe wa madereva kutokana na kuamini kuwa alie mbele anajua anachokifanya na alie nyuma anamuona alie mbele yake.
Home
Unlabelled
UZEMBE BARABARANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mdau hii ilitokea J2 7-8-2011 niliishuhudua pia na sio 8-8 kama inavyoosomeka hapo
ReplyDelete