Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzanzia 2011, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Nguvu Kamando akiwapa maelezo mbalimbalimbali kuhusiana na mitambo ya kurushia mawasiliano ya simu ya kampuni hiyo iliyopo mjini Arusha wakati warembo hao walipotembelea kituo hicho jana.Warembo hao wapo katika ziara ya kimafunzo na kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani Kanda ya Kaskazini
Maelezo yakiendelea
Sababu ya simu za Vodacom kutosumbua ni mitambo ya kisasa....wanaambiwa
warembo jaribuni kuvaa vizuri,kuwa mrembo haimaanishi kuvaa nusu uchi jamani
ReplyDeleteMtoa maelezo yuko hoi,anajikausha tu lakini malavidavi. Anapata wakati mgumu, angalia picha ya tatu
ReplyDeleteMshale wa uzazi umemsimama...pich ya tatu
ReplyDelete