Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji wa Mfuko wa GEPF Bw Anselim Peter akimkaribisha Naibu Spika Bw Job Ndugai katika banda la Mfuko wa GEPF wakati wa maonyesho ya Nane nane
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Bw Zito Kabwe akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ya uzeeni (VSRS) na afisa masoko wa Mfuko Bw Edward Nzota
Mh John Chiligati mbunge wa Manyoni Mashariki akipata maelezo ya kina juu ya faida zitolewazo na Mfuko wa GEPF kwa wanachama wa Mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ya uzeeni (VSRS)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Zito katoka kama vile anaenda kukabidhiwa mke!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...