Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika hifadhi ya taifa ya Tarangire mkoani Manyara jana walipokwenda kujionea wanyama na vivutio mbalimbali vya utalii katika hifadhi hiyo ya tano kwa ukubwa nchini. Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani kwa watanzania. Katika hatua nyingine leo Miss Photogenic anataraji kutangwazwa na kujipatia tiketi ya kuingia katika nusu fainali ya shindano la Vodacom Miss Tanzania. Miss Photogenic atakuwa ni mrembo wa pili kuingia katiak hatua hiyo ya 15 bora baada ya Top Model.
Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania Zelulia Manoko,akizungumza baada ya kufika katika lango kuu la kuingilia hifadhi ya taifa ya Tarangire mkoani Manyara jana na kujionea wanyama wa aina mbalimbali. Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani kwa watanzania. Katika hatua nyingine leo Miss Photogenic anataraji kutangwazwa na kujipatia tiketi ya kuingia katika nusu fainali ya shindano la Vodacom Miss Tanzania. Miss Photogenic atakuwa ni mrembo wa pili kuingia katiak hatua hiyo ya 15 bora baada ya Top Model.
Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa katika hifadhi ya taifa ya Tarangire mkoani Manyara jana walipokwenda kujionea wanyama na vivutio mbalimbali vya utalii katika hifadhi hiyo ya tano kwa ukubwa nchini. Warembo hao wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani kwa watanzania. Katika hatua nyingine leo Miss Photogenic anataraji kutangwazwa na kujipatia tiketi ya kuingia katika nusu fainali ya shindano la Vodacom Miss Tanzania. Miss Photogenic atakuwa ni mrembo wa pili kuingia katiak hatua hiyo ya 15 bora baada ya Top Model.Picha na Father Kidevu Blog.


kuna tembo dume mmoja kawapenda hao wawili waliovaa kofia za biluu, yuko tayari kuoa wote wawili mipango ya ndoa inakuwaje? aonane na Rundenga? Ahaa!! Ahaa!! Ahaa!! just jockingii!!
ReplyDeleteKaka picha ya kwanza toka juu,
ReplyDeleteMstari wa mbele,
Wa tatu toka kulia,
Mwenye kofia ya Buluu,
Sandalz nyeupe,
anaitwa nani huyo? Unaweza kuniunganishia Kaka? Nitakupoza.