Wawili kushoto ni Juliana na Suzie ambao ni marafiki wa marehemu tangu Tanzania,walikuja kwenye misa ya kumuaga Macrina Samaka wakitokea Boston(MA) anefuata ni Juliet Samaka mdogo wa marehemu aliekuja kushughulikia maswala ya msiba wa mpendwa dada yake na wa kwanza kulia ni Magrette Wahida.
Juu na chini ni wafanyakazi wenzake na marehemu ambao nao walifika kumuaga aliyekua mfanyakazi mwenzao.
Kwaya iliyoundwa na Watanzania kwa ajili ya misa hii ya kumuaga marehemu Macrina Samaka
Kulia ni Bruce Bond ambae ni Mmarekani aliyekua akiishi na Marehemu na aliyepiga nae picha ni dada yake ambae jina halikupatikana.
Juu na chini Watanzania wa DMV na State za jirani wakitoa mkono wa pole kwa mdogo wa marehemu Juliet Samaka
Watanzania waliojumuika kwenye misa wakibeba jeneza la marehemu kuelekea kwenye gari tayari kwa safari Tanzania hapo siku ya Jumatano Aug 17,2011 na mwili unatarajiwa kuwasili Tanzania siku ya Ijumaa Aug 19,2011.
Watanzania wa DMV waliofika kumuaga marehemu Macrina Samaka hapa ni baada ya misa
Wafanyakazi wenzie na marehemu wakipiga picha ya pamoja na Juliet Samaka(shoto)
Marafiki wa familia waliokuja kutoka Boston(MA) kutoka kulia ni Suzie,Juliet,Abela na Francis Milinga


bwana nmetoa na bwana ametwa jina lake lihimidiwe milele mungu awatie nguvu wote ndugu, marafiki na jamaa zake wote
ReplyDeleteKwa nini hao watu walikuw wamevaa gloves? Is that the way really kumbeba ndugu yao? I find it very interesting!!!!
ReplyDeleteGloves ni ishara ya usafi ndugu yangu. Kwa Nchi za wenzentu hygenic first
ReplyDeleteKWELI TUNAMSHUKURU SANA MUNGU HUYU DADA AMEFANIKISHA SAFARI YAKULETWA NYUMBANI, KWELI HUWA TUNAAMINI KUWA POPOTE PALE MUNGU YUPO LAKINI TUNAPENDA SANA MTU AAGWE NA KUZIKWA NYUMBANI KWAKE ALIKOZALIWA
ReplyDeleteMIMI SIKUCHANGA LAKINI NILIGUSWA SANA NA MSIBA HUU NA NILIKUWA NWAOMNEA WAPATE HELA AU IKISHINDIKANA WARUDI NYUMBANI. TANZANIA TUNA MSHIKAMANO SANA MUNGU AWABARIKI WOTE WALIOCHANGA NA WALIOWAPA MAWAZO YA USHAURI NA NINAAMINI ATAFIKA SALAMA. AMINA