Dada yetu Rukia(shoto) akiwa pamoja na Sis Bernadeta ambao nao walijumuika na Watanzania wenzao waliofika kwenye Harambee ya Marehemu Macrina Samaka ilyofanyika leo Jumamosi Aug 6,2011,Harambee itaendelea tena Jumapili,Aug 7,2011
Juu na chini ni Watanzania wa Washington,DC waliohudhulia Harambee hiyo
Kessy anaesaidiwa kufungwa Khanga na Magrette Wahida,Khanga zilizotumika kwa Harambee,Kessy alinunua Khanga nyingi pekee yake
Kutoka(shoto) ni Mrs Tuliza,Esther,Dr Annette,Dada Peace na Anne 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...