Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua nyanya wakati alipotembelea banda la Water for the Thrd World katika Kilele cha maonyesho ya wakulama Nanenane kwenye uwanja wa Mwalimu J. K. Nyerere Mjini Morogoro.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza mtoto Oliver Stephene (9) akimwambia jambo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipokuwa akitembelea mabanda kwenye Kilele cha Maonyesho ya Wakulima Nanenane wa Mwalimu J. K. Nyerere Mjini Morogoro
Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, akishika mhindi mbichi wa mbegu bora mpya ya mahindi aina ya TAN H600 , yenye uwezo  mkubwa wa kuzalisha magunia kati ya 28 na 32 kwa ekari moja , kutoka katika vipando vya mbegu bora za mahindi  zinazozalishwa na Kampuni ya mbegu ya Tanseed International Ltd , huku akimsililiza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Isaka Mashauri, jana kwenye Uwanja wa Nane Nane Kanda ya Mashariki.
Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, akielekeza umuhimu wa mbegu ya TAN H600, ifikishwe kwenye maeneo ambayo mbegu hiyo  zitafanya vizuri zaidi ili kuwa na mafanikio makubwa zaidi  katika Kilimo, mbele  ya  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Isaka Mashauri, ( wakanza kushoto) jana  wakati Waziri Mkuu, alipotemebelea Vipando vya mbegu bora  zinazozalishwa na Kampuni ya Tanseed International LTD,  kwenye maonesho ya Nane Nane , viwanja vya Mwl Juluis K Nyerere, Kanda ya Mashariki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...