Katibu Mkuu wa wizara ya Afya (Zanzibar),Dr. Jidawi akipokea msaada wa madawa na vifaa mbali mbali vyenye thamani ya dola elfu kumi ($ 10,000/-) kutoka kwa balozi wa Marekani Nchini Tanzania,Alfonso E.Lenhardt kwa ajili ya watu waliopata maafa ya kuzama kwa meli ya MV Spice Islanders katika mkondo wa Nungwi hivi karibuni.Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar
Home
Unlabelled
Balozi wa Marekani nchini Tanzania atoa msaada wa madawa na vifaa mbalimbali wa wahanga wa ajali ya meli Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Are these guys related! They look alike eenhe!
ReplyDeleteThey must be related. Wanafanana kweli. Huyu Balozi nafikiri wazee wake walitokea sehemu za Afrika Mashariki.
ReplyDelete