Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Balozi wa Zambia nchini TanzaniaMavis Lengalenga, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango nchi yake katika ujenzi na maendeleo ya Reli ya Tazara, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Mzee Nchimbi na mkewe wamepewa zawadi ya kusafiri na treni ya TAZARA bure katika kipindi chote cha maisha yao.
Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga (kushoto) akicheza ngoma ya asili iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchini Zambia, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga (katikati) akicheza ngoma ya asili iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchini Zambia, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchi Zambia, kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Sanaa cha Polisi Tanzania, kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam. Picha www.sufianimafoto.blogspot.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...