Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akipokea cheki ya sh. Milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Utafiki wa benki ya CRDB, Tully Mwambapa kwa ajili ya waathirika wa ajali ya Meli ya Mv Spice Islander iliyotokea katika eneo la Nungwi Kaskazini Unguja.Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais mjini Zanzibar leo. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii, Zanzibar.
Home
Unlabelled
Benki ya CRDB yatoa ubani wa Sh. milioni 10 kwa ajili ya kusaidia waliopata ajali ya meli Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...